Kwa waliofukuzwa udsm jaribu hii

Kwa waliofukuzwa udsm jaribu hii

len

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
204
Reaction score
128
Bora wakafungue tuition centre. Walipewa nafasi wakashindwa kuzitumia.
 
we jamaa huna akili kabisa. Tatizo hujui kinachoendelea hapa UDSM. Kama unafikiri walikuwa ni wajinga, wewe huna akili totaly, ndio maana ulidisko.
 
Hilo mbona bwabwa kila cku linaongea pumba tu jamvini,nyambafu
 
we jamaa huna akili kabisa. Tatizo hujui kinachoendelea hapa UDSM. Kama unafikiri walikuwa ni wajinga, wewe huna akili totaly, ndio maana ulidisko.

kumbe nilidisco. Jitahidi na wewe usije uka disco kama mimi.
 
kwakuwa elimu yako ndivyo inavyokufunza kutukana, poa.

unauzi sana we jamaa,hata ka umetumwa na hao magamba ebu jaribu kuchanganya za kuambiwa na zako pia.
 
sijatumawa mkuu. Tatizo watanzania mnapenda maneno laini tu.
 
Back
Top Bottom