Imenitouch my dia
Asante kwa kututia moyo, coz wengine kupendwa ni ndoto za alinacha!
upendo wa mungu tu ndio tumebahatisha loool!
Passion Lady
Ya kweli haya?
Kweli kabisa,mi ni mfupi,mnene sana,litumbo hiloooo,nipendwe na nani sasa!tabu tu
What you hate of yourself,,may be envied by me!
Asante kwa kututia moyo, coz wengine kupendwa ni ndoto za alinacha!
upendo wa mungu tu ndio tumebahatisha loool!
M not hate my self but i wll remain lonly 4ever!no 1 beside me!
Utakuwa unawakataa,,so it will be ur right 2be lonly 4rever
Jus a joke,coz naona shemeji ameingia,napendwa na loya mie!hahaaa!