Jionee mwenyewe bby,fitna zilizidi huku swr!niliandamwa kweli!
Si wewe kwani uongo?kitambaa kile c kitatosha au niongeze!
Ha ha haaaaaaaaaaaaa, MUULIZE VIZURI.........
Better late than never!
Hili swala hilina time boundary lazima ushikwe Vin Diesel!
Unaona sasa unadhalilika hadi kuitwa fundi cherehani.
Just leave then, stay with me, only me...
Kweli passion lady uko single? 2 onane bc,may be utanipenda.
Tena akamatwe haraka na asiwe na mdhamana!chezea loya wangu wewe Vin Diesel!
Wifi my husband wangu akikamatwa afu mimi nitapata wapi......mwacheni bhana
We we weeee, huyu ni wifi yangu wa halali kabisaaa. Mke ya LAWYER Ruttashobolwa.
Soooo, stay away ooh