Unamdanganya Vin Diesel
Unamdanganya Vin Diesel
Mbona hunyooshi maelezo dear?
Mmmh naogopa atakuwa zezeta moja kwa moja.
Nikinyoosha maelezo moto utawaka hapa....
washa moto tutauzima kwa petrol!
Vin Diesel tulia na mmoja bwana...sio fresh kuchanganganya mademu! siku hizi kondom feki kibao, arv feki kibao!
Haaaaaa!wifi hata wewe wakunichongea!
Nikinyoosha maelezo moto utawaka hapa....
Sasa naona liwalo na liwe
nime vumilia sana
Condom situmiii
mdogo wangu.............haya! ngoja sasa tuanze kunyooshea vidole!
Kunyooshea vidole kitu gani......mie mkubwa kwako