Kweli kabisa,mi ni mfupi,mnene sana,litumbo hiloooo,nipendwe na nani sasa!tabu tu
Usikate tamaa Passion Lady, utapendwa tu. Mi nilikuwa singo sasa hvi nimependwa na Vin Diesel na mimi nampenda.
Asante kwa kututia moyo, coz wengine kupendwa ni ndoto za alinacha!
upendo wa mungu tu ndio tumebahatisha loool!
Ha ha haaa Passion Lady kuna watu wanapenda hizo figa acha. Na nina uhakika yupo unatuzingua tu
Love , love loveeee
Jifanye love loveee tu huku,@ Marejesho akija mi usinipigie simu nikipeleke hospital
kisa kipigo,kaka yako yupo busy unajua,anza kuandaa bodaboda ya kukupeleka!
si unaye Ruttashobolwa??Mungu akupe nini jamani..gunia la chawa
Hvi shem mbona unanifwatilia sana,ukisema kama nimeandika hv
jua na mimi nakuchomea kwa mama koku kule kijijni mambo unayoyafanya mjini!
Makubwa na wewe tena,umekubali kua mke mdogo?
@ Vin diesel staki mazo kuanzia leo,kumbe unao wengi loool!
Usikate tamaa Passion Lady, utapendwa tu. Mi nilikuwa singo sasa hvi nimependwa na Vin Diesel na mimi nampenda.
Nilitaka kushangaaa lady with passion afu eti ukose desh desh Bishanga yupo, bwana aende kwa babu ana shida gani?
Bora urudi kwangu... KOKUTONA hana hiana nawe....