Kwa waliokata tamaa ya kupendwa tena.....have faith

Sijamaanisha love hiyoo, yaani nimemaanisha love love ia important.....na yeye anajua nilichomaanisha, nampenda sana wifi yangu marejesho lol.....hata maembe nilimpelekea.

Usiwe na wasiwasi, niko salama saana

Ndo maana nakupenda. Love, love...
 
Last edited by a moderator:
Ukimkubali jua umetangaza vita na mimi? Ninamiliki silaha kwa taarifa.

Mi mwenyewe nipo kikosi cha mizinga,ila nimemkataa coz nampenda loya wangu
nitakutana na mumeo chimbo nimkatae live coz huku hataki kunielewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…