Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Sikushauri.Bora ubaki na loya wako kwani utaishia maumivu tu...
Hata wewe yeye ni mume wa mtu.
XoxoxoKweli kabisa,mi ni mfupi,mnene sana,litumbo hiloooo,nipendwe na nani sasa!tabu tu
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:Kizungu zungu honey, njoo unibebe.
Tego au limbwataa? Kumbe kaka yangu naye yumooo ee..
@ Tonykp vp,c unanijua nilivyo kishotii chibonge!
Unataka niseme uongo? ?
Hahahaaa!sio uongo ndio ukweli wenyewe bna!na mtaani ndio wananiita shotiii chibonge!ukute umenisahau!
please, please, nitaliaa........
Huo ubonge umeupata baada ya kuachana nami?
Kwanini tena my dear