Kwa walioko bukoba

Kwa walioko bukoba

M CM

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
2,495
Reaction score
1,477
Shule inayojulikana kwa jina la KAHORORO itafunguliwa lini? Maana nina dogo kachaguliwa huko F5 na joining instruction huenda ikachelewa kufika huku.
 
kufunguliwa kivipi au unamaanisha kureport?
 
Back
Top Bottom