Kwa walioko Morogoro naomba location ya Kihonda Mkundi Kuna project nataka nikaanzishe.

Kwa walioko Morogoro naomba location ya Kihonda Mkundi Kuna project nataka nikaanzishe.

Ukifika stendi ya msamvu, toka nje ya stend upande wa gari zinapoingia, nenda na hiyo barabara kama unaenda dom,kuna stend na kituo cha mafuta ya atn, hapo panda daladala za mkundi, zinapita kihonda
 
Ukifika Moro, tafuta bajaji za mkundi unapata na hata daladala unapata. Ni njia ya dodoma, sio mbali kabisa.
 
Na kama unaenda kununua kiwanja mkundi kaa macho usije ukapigwa,kuna watu wanalia huko waliuziwa maeneo ya seeikali/msitu
 
Ukifika stendi ya msamvu, toka nje ya stend upande wa gari zinapoingia, nenda na hiyo barabara kama unaenda dom,kuna stend na kituo cha mafuta ya atn, hapo panda daladala za mkundi, zinapita kihonda
Asant sana mkuu
 
Unataka ukaanzishe project sehemu ambayo hujawahi kufika mkuu?
Au unamaanisha unataka kwenda kusoma ramani kwanza
 
Back
Top Bottom