Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Asant sana mkuuUkifika stendi ya msamvu, toka nje ya stend upande wa gari zinapoingia, nenda na hiyo barabara kama unaenda dom,kuna stend na kituo cha mafuta ya atn, hapo panda daladala za mkundi, zinapita kihonda
Ooh Asante kwa taarifa mkuuNa kama unaenda kununua kiwanja mkundi kaa macho usije ukapigwa,kuna watu wanalia huko waliuziwa maeneo ya seeikali/msitu
Ubarikiwe mkuuUkifika Moro, tafuta bajaji za mkundi unapata na hata daladala unapata. Ni njia ya dodoma, sio mbali kabisa.
UbarikiweUkifika Moro, tafuta bajaji za mkundi unapata na hata daladala unapata. Ni njia ya dodoma, sio mbali kabisa.