Tumeamua kutoa huduma mbalimbali ndani ya Mkoa wa Mwanza (Wilaya zote) ili kuwasaidia watanzania wenzetu walioko mbali na Mkoa huu. Wasiliana nasi ili tukusaidie kupunguza changamoto Kama si kuimaliza kabisa - unayokabiliana nayo kwa vile uko mbali na Mwanza. Kwa wenye uhitaji huo njoo tukuhudumie kwa ubora unaokubalika. KARIBUNI SANA.