Kwa waliokosa mikopo HESLB

faraji yassin

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
243
Reaction score
24
hua najisikia vibaya sana kuona mwanafunzi wa chuo kuomba mkopo na kukosa mkopo inaniuma sana kwa kua na mimi nilikua miongoni kati ya wale ambao hawakupata mkopo ata senti tano na nimeishi bila mkopo kwa semista nzima kwa shida sana ila ningependa kukuambia kua kuappeal na kupata mkopo inawezekana kutokana na jitihada zako mwenyewe na kama unapenda kupata mkopo...!!!

mwanzo sikupewa ata sh ila nilikuja kuappeal na nikapata % 100 nilifanya ivi
1.. nilisubili mapaka walivotangaza kuappeal nilikua katika mstari wa mbele katika kufanya hivyo maana walivotangaza tu baada ya siku mbili nikawa nimeshatuma maombi

2..niliambatanisha vyeti vyangu kuthibitisha kua kwa nini nina appeal maana ya kua sababu gani inanifanya kuappeal so huwezi kuappeal na kupata mkopo bila ya kua na uthibitisho kua kwa nini unaappeal ni kitu cha muhimu sana yan sana ndugu zangu zingatieni icho sana

3.. vile vile hii sio legal sana ila nakushauri kama ndugu yangu maana haya ni maisha..kama unaweza tafuta ata mtu wa kukusaidia pale bodi ya mkopo sababu ndivo nilifanya mimi


kama kuna vitu vingine nazani tutazidi kuwasiliana
 

Uthibitisho hupi haswa endapo wazazi wote wapo hai lakini familia utokayo ni ya kimasikini isiyo na uwezo wa kukulipia gharama za chuo.Je kwa mtu mwenye hali km hii atumie uthibitisho hupi hili HESLB waweza kuelewa rufaa yake na kumpa mkopo aendelee na masomo? farajiYassin
 
Last edited by a moderator:

Hicho kiwanja kitazalishaje fedha ya marejesho ya huo mkopo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…