Kwa waliokosa mkopo

Tafadhali jumatatu ya tarehe 13.10 fika pale ofisi za HESLB Sam Nujoma road ili kupata ufumbuzi wa tatizo lako.
Asanteni.
 
Sasa kama huna vigezo vya kusecure loan nenda board,,utakuwa umepoteza muda wako bure,labda kama wewe ni medical student
 
wengi walio kosa mkopo ni watoto wa wa kulima na kumbuka kila mwanafunzi alilipa non refundable 30000 ukizidisha na walio kosa mkopo tayari ni mtaji wa kunepesha staff wa board

hesleb imepata non- refundable money tsh million 841.1 kutoka kwa applicants waliokosa mkopo academic year 2014/2015
 
Habari zenu waungwana.samahanini xn mm nimechaguliwa kujiunga na chuo cha ifm kwa mwaka wa masomo 2014/2015 ila nimekosa mkopo nifanyeje? Tafadhalini naomba ushauri wenu
 
Habari zenu waungwana.samahanini xn mm nimechaguliwa kujiunga na chuo cha ifm kwa mwaka wa masomo 2014/2015 ila nimekosa mkopo nifanyeje? Tafadhalini naomba ushauri wenu

Ulikua Una Uhakikaa Utapata..?
 
Daaah poa loan board kwa kunichinja and life goes on
 
Mi nauluzia kuhus MMU vp wameshatoa majina ya waliiomba mkopo?
 
Nimefunguka akili nimejua saivi ni.kwanini wanafunzi wa kike wa chuo.huwa wanajiuza na wanaume wanajiingiza kwenye uhusiano.wa kimapenzi.na wamama watu wazima wenye pesa zao embu fikiria maisha ya chuo na gharama za maisha kwa ujumla zilivo juu alafu unamnyima mtoto wa masikini.mkopo unategemea ataishi vipi pasipo kujiingiza katika vitendo viovu il aweze kupata hela ya kujikimu sio kua natetea maovu au namaanixha huwez kujikimu mpaka ufanye maovu upate hela la hasha ila nina imani.kua mtu huwez kusoma chuo tena course ngumu.inayotaka muda mwingi kuisoma kwa nguvu zote uende kutafuta hela kwa kufanya kazi.mahal kama tempo then ukapata hela za kukidhi mahitaji yote ya chuo coz kuna wanafunzi wengne hujilipia hadi ada kisa umasikin sasa utaweza kwel kupata kaz ya kukupa hela ya ada chakula malaz mavaz vocha cafe nauli na mambo.mengne na bado.uku.masomo.yanakutinga darasan? huu.ni.upuuz serikal haiwez kukosa hela ya kuwakopesha wanafunzi ikapata hela za posho za vikao visivyo na manufaa yeyote ambavyo vinakaliwa tokea mwaka 70 serikal hiyohiyo ina hela za kusafirixha viongoz nje kila siku na kujilipa mixhahara ya kufuru pia hii bodi ya mikopo cjui imetumia vigezo gani kutoa hii mikopo koz kuna course zilikua ni.loan priorities but tuliozijaza hatujapata ata mia na kuna course zilikua non priority but waliojaza wana mikopo adi.100% je apo wametumia vigezo gani?? huu ni.ubabaishaj usio na mantik yeyote inakuaje mtu anapata mkopo 98% kasoma private skulz from kindergarten to form six particulars za wazaz wake ni nzur baba doctor muhimbil mama professor udsm na ana division 3 alafu course hiyohiyo mtu mwenye dv 1 kasoma kayumba kuanzia chekechea had kidato cha sita particulars za wazaz wake mama ni.mama wa nyumban na baba ni.mkulima anakosa mkopo kabisa hapa helsb mwaka huu ndio wametumia mfumo gani au sadakalawe? nimeumia sana kukosa mkopo cjui ntafanyaje lakin tutakutana mwakani kwenye uchaguzi :'( :'( :'(.:'(.asanteni wajumbe unaeza ukanipa pole au tukapeana pole kwa hili janga 0656879668
 
Umasikini jeuri ni msemo tu usiuweke kwenye akili...ushaambiwa course ni non priority kwenye mkopo..halafu we unaiomba na unajua huna hata hela ya kulipia direct cost chuoni...

Haya kajilipie basi...masikini hawi jeuri, mtakufa kwa stress na presha za utotoni....
 
Hata watakao ingia hakuna atakaye badiri hio kitu ndo mfumo uliopo....kiongozi wakukumbuka wananchi bado hajazaliwa kila mmoja anakuja kwa manufaa yakee...imagine tangu azaliwe hajawahi panda ndege je akiingia madarakani kwann asifanye hivyooooi.....

Kweli kabisa mkuu,viongozi wa kukumbuka wananchi bado hawazaliwa
 
Kuna watu wa me chaguliwa koz za non priority na wamepata mkopo na wengn wamechaguliwa koz za priority hawana. mm sijaelewa bado labda mkopo ni bahati tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…