Kwa waliokosa mkopo

Kwa waliokosa mkopo

Yaan am an orphan sina baba wala mama nimeomba mkopo hii mara ya pili nimenyimwa sijui vigezo vyakupata mkopo ni nin ,seariously am hurting...am staying with my aunt anasomesha watu wa nne wote vyuo vikuu...hii ni fair kwel nime wapa 60000....na12000,yakutumia hii sikutuibia....kama vipi wawe wana list watu wao wanaotakiwa kuomba nakupewa mkopo

Kaka tupo pamoja mimi mara ya pili hii orphan lakini majibu hakuna kitu mungu atawalipa wacha wawa ongezee wenye nacho
 
Nakozi pia inamata kijana.engineer na mwl ndo kipaumbele.ila pole sana najua unaumia.
 
Tunataka Bodi ya mikopo waweke wazi vigezo wanavyotumia kutoa mikopo, kwani inaonekana form zinazojazwa hawazisomi.
Mtoto unakuta kuanzia nursary hadi advance kasoma private na kozi aliyochaguliwa ni non priority kapewa mkopo asilimia 100. na mwingine kasoma shule za kata kuanzia mwanzo hati mwisho advance kasoma kigonsela nae let say kachagua non priority unakuta kanyimwa.

n mwingine unamkuta kachagua Priority na kapata mkopo ila pesa aliyopewa its not 100% au kapewa fees yote ila kwenye meals, stationary kapigwa bao na dogo niliyemuelezea mwanzo

Pia nikadhani labda wamezingatia division, kuja kucheck wala hakuna isue ya division, kuna wenye div 1, 2 kali wamekosa.

sasa sielewi vigezo gani wanatumia kutoa hizo loan, maana kama vitakuwa wazi hawatopata mtu anayelalamika.
 
Mim inaniuma sana tuliomaliza diploma darasani wetu computer science wotee 57 hatujapewa mkopo.hak kweli
 
Yaan am an orphan sina baba wala mama nimeomba mkopo hii mara ya pili nimenyimwa sijui vigezo vyakupata mkopo ni nin ,seariously am hurting...am staying with my aunt anasomesha watu wa nne wote vyuo vikuu...hii ni fair kwel nime wapa 60000....na12000,yakutumia hii sikutuibia....kama vipi wawe wana list watu wao wanaotakiwa kuomba nakupewa mkopo

Daaaah! Pole sana yaani nimesoma post yako chozi limenitoka, hii nchi imeshakuwa ya wachache wao na watoto wao ndo wanaopata mikopo alafu asilimia mia, hao watoto wao ndo wanesoma shule nzuri na kufaulu masomo ya sayansi na waneshajiwekea sera yao kwamba sayans takers ndo wenye uhakika wa mkopo. Imagine mtoto wa kikwete aliyekuwa anasoma muhimbili na alikuwa na mkopo 100%. Inauma sana kwakweli.
 
kwanza nianze kwa kuwapa pole ila mkae mkijua sio mwisho..endeleeni kupambana
natoa ushuhuda wangu binafsi..
mm nilisoma st kayumba ila sikubahatika kupata mkopo, sitosahau mwaka 2012 majina yalivyotolewa na kukosa jina langu..wazaz wangu hawakuwa na uwezo na mbaya zaidi nilikua nimechagukiwa IFM(kwa wanachokijua kile chuo kipo cty centre kabsa kwa hyo maisha yapo juu kidogo)....kwa bahat nzur kuna ndugu alijitolea kunilipia ada ila ikawa hela ya chakula iwe juu yangu na wazaz...nikiondoka kwetu morogoro nkiwa na laki 2 tu..kwenda kwenye mji ambao cjawah kuishi huku nyuma mama alinitumia gunia la kilo 50 la mchele....hyo laki mbili nkalipa kodi ya miez 6..nilimpata masikin mwezangu tukakaa chumba cha elfu 30000 kwa mwez. kwa hyo tulishare cost...nkabakiwa na 110.000 nipate nauli ya kuvuka na panton...
maisha yalikua hiv #nilikua nachemsha mchele alionipa mama nakunywa na chai maisha yanasonga...sasa iv ndo naingia mwaka wa tatu kwa kuunga unga maisha
lengo alikuwa kuwapa story bali kuwatia moyo masikin wenzangu..msikate tamaa..cha msingi ukifika chuo usiige maisha ya mtu..komaa ivyo ivyo....haina haja ya kuairisha kusoma chuo kisa umekosa mkopo...bdo una chance ya ku appeal pia...nawatakia masomo mema..
 
Word for the wise...
Nimependa ulivyohitimisha mkuu...
 
Huenda pesa zote za mikopo zilipelekwa bunge maalum la katiba maana ndo highest priority
 
Im an orphan nimemaliza chuo mwaka huu na nilipata asilimia 100 nilioma Non priority course,, naomba ndugu tushauriane yamkini mawazo yangu na yako yakakuwezesha mwakani kuomba tena endapo bado una moyo,, nawajua TCU, Bodi vizuri sana tutaftane kwa 0655485211 au 0754485211
 
Haya kijana,kama ni kweli..basi we ni kamanda mtarajiwa.over
 
hata km cyo kwel kwake, lkn in actual, hii ishu ipo inamtokea mmoja wetu kla mwaka, wals msipinge
 
Back
Top Bottom