Thanks for advise: lakini tatzo linakuja kama hata ndugu wa kulipia ada hakuna pia hata gunia kama hlo la mchele la kuanzia maisha hakuna. Huoni shida zinatofautiana?
kwanza nianze kwa kuwapa pole ila mkae mkijua sio mwisho..endeleeni kupambana
natoa ushuhuda wangu binafsi..
mm nilisoma st kayumba ila sikubahatika kupata mkopo, sitosahau mwaka 2012 majina yalivyotolewa na kukosa jina langu..wazaz wangu hawakuwa na uwezo na mbaya zaidi nilikua nimechagukiwa IFM(kwa wanachokijua kile chuo kipo cty centre kabsa kwa hyo maisha yapo juu kidogo)....kwa bahat nzur kuna ndugu alijitolea kunilipia ada ila ikawa hela ya chakula iwe juu yangu na wazaz...nikiondoka kwetu morogoro nkiwa na laki 2 tu..kwenda kwenye mji ambao cjawah kuishi huku nyuma mama alinitumia gunia la kilo 50 la mchele....hyo laki mbili nkalipa kodi ya miez 6..nilimpata masikin mwezangu tukakaa chumba cha elfu 30000 kwa mwez. kwa hyo tulishare cost...nkabakiwa na 110.000 nipate nauli ya kuvuka na panton...
maisha yalikua hiv #nilikua nachemsha mchele alionipa mama nakunywa na chai maisha yanasonga...sasa iv ndo naingia mwaka wa tatu kwa kuunga unga maisha
lengo alikuwa kuwapa story bali kuwatia moyo masikin wenzangu..msikate tamaa..cha msingi ukifika chuo usiige maisha ya mtu..komaa ivyo ivyo....haina haja ya kuairisha kusoma chuo kisa umekosa mkopo...bdo una chance ya ku appeal pia...nawatakia masomo mema..
​pole sana hadi una muda wa kuingia kwenye mitandao ya kijamii
Story is plain with no evidence how can we trust you? Re-think.
kk unafikiria kwel????au unaropoka tu..kwan kuwa masikin huna haki ya kuingia kwa social networks???...na mm kwa sasa sio masikin kama nilivyoanza ..kuna kamradi nilikagundua nikaanzisha na ada ya mwaka huu ntalipa mwenyewe...I will cum with another thread inayoelezea nilivyo survive...hii Ni introduction tu...
samahan kaka.... ada kwa mwaka au kwa course inaweza kuwa kiaz gani...?
wengine engeneering lakn holaNakozi pia inamata kijana.engineer na mwl ndo kipaumbele.ila pole sana najua unaumia.
Yaan am an orphan sina baba wala mama nimeomba mkopo hii mara ya pili nimenyimwa sijui vigezo vyakupata mkopo ni nin ,seariously am hurting...am staying with my aunt anasomesha watu wa nne wote vyuo vikuu...hii ni fair kwel nime wapa 60000....na12000,yakutumia hii sikutuibia....kama vipi wawe wana list watu wao wanaotakiwa kuomba nakupewa mkopo
Ndugu yangu kwenye ku appeal hata sishauri kiivyo,,,,hata mimi nilikuwa mhanga wa kukosa mkopo first year..niliappeal na sikupata kitu lkn niliomba upya nilipokuwa mwaka wa pili,nikapata asilimia 100,,,naomba kama mtu ana subira aombe mwakani na wale first year wajao,,hapo kama course anayosoma itaruhusu ni atapata mkopo,,,lakini kuappeal unapoteza hela yako na muda wako tu,,,,Pia kusoma private siyo kigezo cha kukosa mkopo,nina marafiki zangu wengi tu wamesoma Feza mwanzo mwisho,,wengine Feza - Alpha..na shule zingine za private ambazo ada yake ipo juu kimtindo mwanzo mwisho wana mikopo asilimia kubwa tu na wengine 100 kabisa,,,course unayosomaa kwa upande mwingine ina matter,,poleni wadau wote mliokosa mkopo,,cha msingi ni kujipanga kuapili tu
kwel shda znatofautiana....sasa unaweza kuangalia maziringira ya kwenu..haiwezekan ukoo mzima ukawa na shda atakuwepo ata mtu mmoja...pia waweza pitisha bakuli kila mtu akatoa kiac cha uwezo wake..wengne wakikupa 5000 wengne 10000 maisha yanaenda..cha msingi Ni kujishusha tu kama una shida kweli.....bdo kuna makanisa na misikitiwaweza kwenda pia kuomba msaada(apa nawazungumzia wasio na uwezo kabisa)
inategemeana na chuo..kwa ifm ada Ni 1500.000 na kwa udsm 1300.000 vyuo vingne cjui...ila gud thng sio lazma uilipe yote..unalipa kwa installment