Kwa waliokosa mkopo


pole mkuu.
 
Sitaki kusikia upuuzi wa kuzungumzia suala la elimu ya juu ifikapo 2015 wakati wa kampeni kisa mnatuomba ajira. W,a.p.uzi wakubwa, watu tumekosa mkopo siku ya siku mnakurupuka eti fyofyofyofyo......................... Sitaki kusikia. Kama mnaweza fanyeni leo wakati wa shida zetu siyo mtuletee upuuzi, wa.p.mba.vu na wa: pu.uz wakubwa
 
Mimi ningependa tusianze na kulalamika kwanza,tuangalie ni kwanamna gani wamenyimwa walio wengi? Watoto wengi waliotoka shule za kata ni wengiwao huutafuta umaalufu wa chuo kikuu na kushindwa kutambua kuwa nini wana hitaji kwa wakati hupi.Wengi wao wanapoteza nafasi zao kwa kufata umaalufu wa program aiza kwa kushawishiwa au kutojua.Wapendwa najua ntawakwaza sana kwa kusema ukweli huu,wengi wao wa watoto hawa pia wanahitaji program zenye sifa na hatakama hazina mikopo na wakati mwingine kufikilia kupata maslahi ya haraka zaidi bila kujali ughali wake.Mfano mdogo tu mtoto wa advance ukimwambia unasoma ed. atakuona waajabu sana tena pengine kukushusha thamani kabisa. Atakwambia yeye anataka sheria kwani ndo inalipa,ama procurement,bba na zingine zote ambazo ni maalufu.Huu ni ujinga tena ni mkubwa sana kisha kulalamika. Umaalufu unawaponza sana ndugu zetu hawa. Nawomba tujaribu kuwashauli kama kweli wanahitaji kusoma na kuzisaidi familia zao basi wasitafute majigambo na sifa za mtaani.Hivi tunafikili kuwa mtoto wa tajiri kabisa amejaza program zenye mkopo wa 100% Education ktk masomo ya sayansi ua yenye 50% ed. ktk masomo ya sanaa akapata mkopo na wewe mwenzangu ukajaza law,pro,bba.....nk ukikosa unalalamika et mtoto wa kigogo kapendelewa jamani tuzijali basi familia zetu na tusitake sifa za kuziumiza!
 
Kuna maneno haya hutumika sana na wanafunzi wengi wakati wa kuchagua vyuo- Inalipa,marketable, mara chache sana tena kwa wenye kujitambua ndo watasema inamkopo?! Mtoto wa mkulima huiga maneno haya-inalipa ama marketable!
 

pole sana kwa kukosa huo mkopo .Ninacho kushauri fuatilia ili ujue mwenyewe sababu ya kukosa mkopo wakati wengine wamepata ,ila kama unataka kila kitu ufanyiwe kisiasa na siyo kisayansi naamini utavurugwa na myana siasa uchwara kwa maana nyingine wachumia mbalaga ndwanda . Mwanasiasa mzuri atakaye kusaidia siyo yule mwenye lengo pekee; a kukutawala siku moja ila yule mshauri mzuri kwa mstakabali wako Mfano Wabunge kuweza kupanga bajeti toshelezi kwa ajili ya Elimu ya juu itakayoendana na uboreshaji wa sera ya elimu ya juu siyo kama hivi sasa wengine kazi kufunga ngumi , wengine kupanua vidole , wengine kuinua kidole gumba na kuna wengineo kazi yao kufuata upepo tu na kujaribu kuangalia namna ya kuutuliza kwa maslahi ya vyma vyao na matumbo ya familia zao .
============= amsorry if mya advice is not goog 4u ==== ila hali halisi iko hivyo ,,,,,,,,,,,,:angry::angry::spit::spit::llama::bump::flame:
 

Mkuu unauhakika na ukiongeacho,au umekurupuka kama anae-sex na kichaa,WEWE KAMA ULIMALIZIA SHULE YA KATA NA UKAJITIA KIMBELEMBELE KUCHAGUA COURSE AMBAYO NI NON-PERIORITY,JE ALITEGEMEA NN,LAWAMA NYINGINE SIYO ZA KWELI,LOANS BOARD Wanawapa kipaumbele wale waliomalizia shule za kata na kuchagua periority course.
 

Uliemnukuu aidha wivu unamsumbua au anawaza anavyoweza. Anadhani fedha ziko kama kitu kisichobadilika ukikiacha leo kesho utakikuta vilevile. fedha hunyumbuka (elastic) kwa kuongezeka na kupungua.
Mtu kwa mfano kasomesha mwanae kwa hela za BMK au kwa kukopa wakati afya na umri unamruhusu - kesho karudi alikotoka (back to square one) na mtoto au watoto ndo hao wanaingia chuo kikuu - ataomba mkopo in anticipation watoto wenyewe watakujaurejesha.

Hiyo sio sababu - waangalie kipato cha sasa cha mzazi na sio historia ya kipato cha mzazi.
 
sio tabia nzuri
 

Mkuu inaonekana unawaza sana ngono.
 

Hivi kweli ww ni GREAT THINKER?Nina msshaka na uwezo wako wa kufikiri hasa nyakati za matatizo.FB unapost matus,na hata hukuu?
 

kuna kaukweli
 
Nakozi pia inamata kijana.engineer na mwl ndo kipaumbele.ila pole sana najua unaumia.

Miss j usiseme hvyo nimepata chuo cha serial I tang o level nikata nimekaa kitaa four years nimepata education mkopo nmekosa hii Mara ya pili.Tuende wp walala hoi?
 

We dogo a cha kuropoka.wanayosema kaka n Dada zako wanauhakika NAYO.mdg wang tang o lvl kasoma Kara,kapata education gvt name kakosa mkopo.kama huna hoja tulia MAHARAGE YA SOYA
 

Pia ujifunze kiswahili vizuri. Sio unasema unauhakika na ukiongeacho Selma "uongeacho"
 
Pia ujifunze kiswahili vizuri. Sio unasema unauhakika na ukiongeacho Selma "uongeacho"
Kwenye "selma" hapo kidogo kuna shida,rekebisha usionekane kama huyo uliyemsahihisha.




Bodi wakati mwingine wanakosa usawa kwa wanachama wao,kuna watu waliosoma kwa tabu na hawapewi hata mia.Sijajua vigezo vyao huwa ni vipi mbali na matokeo na kozi.Ingekua vyema waviainishe hadharani kama havipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…