Kwa waliokosa mkopo

Kwa waliokosa mkopo

Du aisee plan B hapa inahusika sijui nchi hii tutajikomboa lini
 
majina yanatoka kwa batch so mayb batc yako haijafika na kama ni yatima mkopo unapata bila ya waswas,jaribu kufuatilia bodi
 
nenda bod direct mkuu utapata mkopo bila zengwe kama upo dar!
 
majina yanatoka kwa batch so mayb batc yako haijafika na kama ni yatima mkopo unapata bila ya waswas,jaribu kufuatilia bodi

kwaio mkuu kumbe bodi hua inatoa mikopo kwa batch?, nlitaka kushanga kwan apa chuon kwetu TIA wanafunz wa Acc tupo karibia 500 ila waliopata mkopo ni 56 pekee
 
Apeal bwana unaweza rekebishiwa,ila ukubali kusubiri sana ila unarekebishiwa tu
 
Nenda Bodi,usichoke kuwafuatilia,pole sana kwa kweli
 
tuliokosa mkopo ina maana hadi hela ya kujikimu hatupewi au ni vipi?:A S-confused1:
 
tunaomba kaka kama unazifahamu procedurez za kuappeal bhasi, maana wa udom 2nataka 2jue mapemaa kabla hakuja kucha..msaada..ila walinichagua eductn xaxa cjui maana udom nao? coz ya edctn ,mmmh.

Hiv mkuu unaapeal ili iweje wakati serikali imeshasema itatoa mkopo kwa wanafunzi elf 30 tu,utapoteza muda wako na pesa bule watu elf 28 sio wengine ni wewe mmojawapo ambao mmeachwa,
 
Duh kwa hali hii kitaa kinatuhusu sana tu, yan Mzumbe majina waliotoa ni zaid ya 1500, ila waliopata mkopo ni watu 500 na kidogo tu..!
 
Back
Top Bottom