twende humu humu wengine simu za wasapu ziliisha muda wake june 16....vp uko mwenyewe au na shem hapo
Humu wengine hatujazoea...polen kwa kufungiwa! Tupo yaani na Shem na Wifi....heheh! kaributwende humu humu wengine simu za wasapu ziliisha muda wake june 16....vp uko mwenyewe au na shem hapo
Ni wazi uko pekeyako hapo kitandaniThis time naandika hapa...hope wengine wamelala ila kuna wengine bado! Niko na mood ya kuchat...about maisha na issue zingine za kiungwana zaidi! Kama vp tupia namba yako tuchat whatsapp! Ofa kwa walio macho tu na wenge mood za kuchat...ambao kesho hawawahi job! Hayaaaa....
Note: Sitaki madongo jemeniiii...ni kwa uzuri tu