kwa waliokuwa approved kufanya re-application TCU

thedaydreamer

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
372
Reaction score
88
niko mbali na chuo nilichochaguliwa ila nimemuomba jamaa angu anisaidie, wamemwambia inabidi adownload form ya tcu, sijaelewa ni form ipi inatakiwa aidownlaod, anaefahamu naomba anielekeze ni form gani na inapatikana vp?
 
Ulichaguliwa lini selection mbona bado, au unataka omba upya
 
Ulichaguliwa lini selection mbona bado, au unataka omba upya

pale juu kuna re-application mkuu, namaanisha wa mwaka jana waliochaguliwa hawakwenda kutokana na sababu mbalimbali
 
Itakuwa sytem chuna cku kazaa jarbu tena, ila ukipata mwaka huu nenda afu ukabadil cours sio kutokwenda BRN, wanafauluuu achaaa utashndwa kwa competion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…