thedaydreamer
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 372
- 88
niko mbali na chuo nilichochaguliwa ila nimemuomba jamaa angu anisaidie, wamemwambia inabidi adownload form ya tcu, sijaelewa ni form ipi inatakiwa aidownlaod, anaefahamu naomba anielekeze ni form gani na inapatikana vp?