costadiego
Member
- Feb 28, 2022
- 76
- 86
Kwa ambao tumelima kiteto msimu huu naomba tujuone Ili kurahisisha kupaongeza mashamba na uzoefu zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alizeti na kunde. Ni shamba langu sijakodiUnalima zao gan!? Mashamba ya kukodi yapo!??
Mkuu hongera kwa kazi nzuri;Kwa ambao tumelima kiteto msimu huu naomba tujuone Ili kurahisisha kupaongeza mashamba na uzoefu zaidiView attachment 2166090
NimekubaliHalafu kuna watu wanabanana kwenye mwendokasi na bahasha za kaki wakimaliza sori kusambaza (wasifu binafsi)
Labour market imefurika, fursa zipo mashambani
Ukiwaambia fursa bado zipo wanakupopoa na matusi. Povu ruksa
Hongera mkuu.
Mashamba wanakodisha shilling ngapi huko ?Kwa ambao tumelima kiteto msimu huu naomba tujuone Ili kurahisisha kupaongeza mashamba na uzoefu zaidi.
40 Kwa heka lakin kama unabargain inaweza shukaMashamba wanakodisha shilling ngapi huko ?
Tena kwa sasa itakuwa balaa[emoji91]Wale Wamasai wa ngorongoro wanaletwa Kilindi-Tanga mpakan na Kiteto.. itakuwa wakulima ni mwendo wa Ngeu tu! [emoji3538]Kiteto si dhani kama ni sehemu salama kwa sasa![emoji848]Upande wa kiteto na simanjiro naskia masai wanachungia mashamba ovyo
Nilitaka kununua ekari moja Bei gani?Alizeti na kunde. Ni shamba langu sijakodi