Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kuanzisha Ni 90 kwa ekari
Sh
Panaitwaje mkuu?Ya kuanzisha Ni 90 kwa ekari
Sh
Bei gani shamba kununua?Alizeti na kunde. Ni shamba langu sijakodi
70000-100000Bei gani shamba kununua?
Tatizo msingi bwashee, kijan anaeomba nauli ya daladala ili asambaze CV anaweza kweli kuwekeza kwenye kwenye kilimo asubiri matokeo baada ya miezi 6 au 9? Sometimes youth get trapped on what economists call Viscious Cyle of poverty.Halafu kuna watu wanabanana kwenye mwendokasi na bahasha za kaki wakimaliza sori kusambaza (wasifu binafsi)
Labour market imefurika, fursa zipo mashambani
Ukiwaambia fursa bado zipo wanakupopoa na matusi. Povu ruksa
Hongera mkuu.
Ulilima sehem gani kiteto nduguKwa ambao tumelima kiteto msimu huu naomba tujuone Ili kurahisisha kupaongeza mashamba na uzoefu zaidi.
Tembelea mbigiri kuna mashamba ya mbugaMkuu hongera kwa kazi nzuri;
mkuu naomba msaada wa maeneo wanalima Dengu ( maeneo ya udongo wa mbuga) kiteto huko kama unapafahamu njuze nje kulima namimi