Kwa waliolima Kiteto virginland tujuane

Nchi hi bado inafursa jamn ni sisi tu tunajifanya hatuztambui, panaitwaje sehem hyo
 
Halafu kuna watu wanabanana kwenye mwendokasi na bahasha za kaki wakimaliza sori kusambaza (wasifu binafsi)

Labour market imefurika, fursa zipo mashambani

Ukiwaambia fursa bado zipo wanakupopoa na matusi. Povu ruksa

Hongera mkuu.
Tatizo msingi bwashee, kijan anaeomba nauli ya daladala ili asambaze CV anaweza kweli kuwekeza kwenye kwenye kilimo asubiri matokeo baada ya miezi 6 au 9? Sometimes youth get trapped on what economists call Viscious Cyle of poverty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…