Kwa waliooa tu: Je, ni kweli ndoa bila michepuko haiendi?

Kwa hizi nyuzi zinazoletwa humu kila siku watu wakilia lia kwenye ndoa zao, naanzaje kumtupa mchepuko wangu kidawa? Kikubwa ajitambue tu.

Let's meet at the top, cheers [emoji482]
mzee nipe koneksheni basi na yule dada ako acha wivu mzee
 
Kuna mwanandoa mmoja anasema " oa ili ujue kwanini unahitaji mchepuko " hakuna watu malaya kama waliooa.kama kabla ya ndoa ulikuwa una wanawake wawili basi ukioa utakuwa na wanawake wanne.Mliooa mnafeli wapi?....Uzi tayari
Haswaaa
 
Ngoja kwanza ajifungue kama round mbili hivi aanze kunenepa hovyo awe na kitambi aanze kujali na kupenda watoto wake hamu ya sex kwake ipungue kabisa uanze kunyimwa gemu

Ndo utaelewa kwa nini ni muhimu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aisee kumbe ndo mambo yalivyo.una michepuko mingapi mzee
 
wewe unayo mingapi mzee?
 
Kwa hizi nyuzi zinazoletwa humu kila siku watu wakilia lia kwenye ndoa zao, naanzaje kumtupa mchepuko wangu kidawa? Kikubwa ajitambue tu.

Let's meet at the top, cheers [emoji482]
huyo kidawa inaonekana unamkubali sana
 
Kila mmoja akitekeleza majukumu yake ipasavyo inawezekana kabisa
 
Mbona watoto wa michepuko ninao 3 na bimkubwa anawalea! Polygamy is a matter of administration my friend

unamuonesha udhaifu wake kiume naye anakubali
umekaa naye kwenye ndoa miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…