Kwa waliooa tu: Je, ni kweli ndoa bila michepuko haiendi?

Kwa waliooa tu: Je, ni kweli ndoa bila michepuko haiendi?

Kwa hizi nyuzi zinazoletwa humu kila siku watu wakilia lia kwenye ndoa zao, naanzaje kumtupa mchepuko wangu kidawa? Kikubwa ajitambue tu.

Let's meet at the top, cheers [emoji482]
mzee nipe koneksheni basi na yule dada ako acha wivu mzee
 
Kuna mwanandoa mmoja anasema " oa ili ujue kwanini unahitaji mchepuko " hakuna watu malaya kama waliooa.kama kabla ya ndoa ulikuwa una wanawake wawili basi ukioa utakuwa na wanawake wanne.Mliooa mnafeli wapi?....Uzi tayari
Haswaaa
 
Ngoja kwanza ajifungue kama round mbili hivi aanze kunenepa hovyo awe na kitambi aanze kujali na kupenda watoto wake hamu ya sex kwake ipungue kabisa uanze kunyimwa gemu

Ndo utaelewa kwa nini ni muhimu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aisee kumbe ndo mambo yalivyo.una michepuko mingapi mzee
 
Kuna kipindi hawa Jinsia Ke, wanapoteza hamu ya Tendo, hasa baada ya kuzoeana sana na mwenza wake na kipindi tayar ameshapata mtoto na majukumu ya kifamilia yamemuelemea.
Ndo apo kidume umetoka kazin unategemea upate faraja kwa mwenza lakin unaambulia kusukumwa na neno Nimechoka acha nipumzike.
Michepuko lazima uitafute....
wewe unayo mingapi mzee?
 
Kila mmoja akitekeleza majukumu yake ipasavyo inawezekana kabisa
 
Back
Top Bottom