Kwa walioolewa zaidi ya mara moja

Huyo huwa anafata sherehe tu cyo ndoa, afu wahivyo bila sherehe hawez kukubali kuolewa[emoji23][emoji23] hajui tofauti ya ndoa na sherehe. Ila Kama ma hotpot na vitenge atakwanavyo vingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kutunzwa vitu vya Send off kuna raha yake
 
Mtaji huo, ni chanzo kipya cha mapato kwa sasa
Kuna mshkaji Upanga alituchangisha harusi.

Kumbe muhuni kapata safari ya Ulaya hana nauli.

Akachukua mchango akaishia zake.

Siku hizi kila nikimuona mtu maarufu sana, ana vihela vyake, sisahau ile story.
 
Kuna mshkaji Upanga alituchangisha harusi.

Kumbe muhuni kapata safari ya Ulaya hana nauli.

Akachukua mchango akaishia zake.

Siku hizi kila nikimuona mtu maarufu sana, ana vihela vyake, sisahau ile story.
Hahaha akirudi mkatateni awalipe
 
Wanakutana naye club, anawanunulia bia, wanacheka stories za utoto.

Mambo yamefanyika karibu miaka 25 iliyopita utotoni huko utamuwekea msela kinyongo bado?
Hahaha kumbe kipindi hiko cha mchango buku tano tano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
2023 itakuwa zamu yako kumuoa
 
Huyo dada atakuwa anapenda sana shughuli maana ni kama aibu unaolewa mara 3 lakini bado unaachika alafu huachi kusumbua majirani na michango yako aah! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nina dadangu mtoto wa mama mkubwa, ana ndoa? ya sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…