Kwa Walioomba Nafasi za Deloitte Jiandaeni kisaikolijia

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
2,815
Reaction score
3,821
Heshima kwenu wakuu.

Kama uzi unavyosema kwa wale ambao waliomba nafasi za kazi Deloitte tayari wameshaanza kuwatumia email walio-apply hizo nafasi.

Sasa kama utaona kimya wiki hii yote hujatumiwa email yawezekana kuwa hauko shortlisted, niwatakie kila la heri kwa wale wote watakaofanikiwa kupita kwenye nafasi hizo wakuu.

All the best.
 
Nafasi zipi?
 
Delloitte wanaringa sana. Wakikuajiri wanahisi kama wamekuajiri mbinguni ukawe kiongozi wa malaika 🤗🤗🤗. Niliziona nafasi zao nikapita hiviii!
 
Delloitte wanaringa sana. Wakikuajiri wanahisi kama wamekuajiri mbinguni ukawe kiongozi wa malaika 🤗🤗🤗. Niliziona nafasi zao nikapita hiviii!

Kwa nini unasema hivyo kiongozi...? Tatizo lao lipo kwenye interview au wanaringa kivipi mkuu...?
 
Kama form four haukupata C ya mathematics usiangaike na kazi za Deloitte maana haitokaa itokee wakuite interview.
Hiyo ni policy yao hata kwenye mfumo watakuuliza ilo.

Hiyo policy ipo mpaka kwa kada ya udereva mkuu...?
 
ACHA uongo,nilishaitwa kwenye Interview na hao wahuni wa Delloite mara tatu na Maths nilipataga D!! kikubwa ni kwamba Delloite ya sasa hivi wamejaa wahuni tu wapigaji,sio Delloite ile ya zamani

Unasema niache uongo, uongo gani ndugu...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…