N namatuhiyetu Member Joined Feb 27, 2022 Posts 56 Reaction score 82 Apr 28, 2022 #21 Niache Nteseke said: Unasema niache uongo, uongo gani ndugu...? Click to expand... Aliyeandika kwamba bila kupata C kwenye Mathematics hao Delloite hawawezi kukuita kwenye Interview zao,ndio nikajibu kwamba sio kweli,nina D ya Maths Form 4 lakini nimeitwa kwenye Interview na hao wahuni Deloitte mara 3
Niache Nteseke said: Unasema niache uongo, uongo gani ndugu...? Click to expand... Aliyeandika kwamba bila kupata C kwenye Mathematics hao Delloite hawawezi kukuita kwenye Interview zao,ndio nikajibu kwamba sio kweli,nina D ya Maths Form 4 lakini nimeitwa kwenye Interview na hao wahuni Deloitte mara 3
Baba ni baba Senior Member Joined Dec 19, 2014 Posts 118 Reaction score 54 Apr 28, 2022 #22 Planett said: we hujui kua kukata kona na kuovateki kunahitaji mahesabu mkuu! Click to expand... Umetisha mkuu
Planett said: we hujui kua kukata kona na kuovateki kunahitaji mahesabu mkuu! Click to expand... Umetisha mkuu
Niache Nteseke JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 2,815 Reaction score 3,821 Apr 28, 2022 Thread starter #23 Baba ni baba said: Umetisha mkuu Click to expand... Wanaokata kona na kuovateki wote wana C ya mathematics mkuu...?
Baba ni baba said: Umetisha mkuu Click to expand... Wanaokata kona na kuovateki wote wana C ya mathematics mkuu...?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 29, 2022 #24 sawa sawa