halafu naona kama umaarufu na heshima ya scout kama imepungua!
Iringa wanapenda sana Mizula,
yaelekea wewe ni mtu wa Morogoro ulichobahatika ni kuyajua maeneo vizuri tatizo ni hapo unapotuzidishia stori sijui beji ya raisi sijui kuna maskauti walipotea kiajabu hayo ni yako!!!!!!!!!!!!!! Morning site hakuhusiani na skauti ila bahati camp ni mali ya skauti!scout kiboko!!! unatembea usiku kucha!!! kwa waliobahatika kufika Bahati Camp!!! Moro, panaitsha kiaina kutoka na simulizi za jamaa aliyekuwa analinda sehemu hiyo, anadai ana beji ya Rais!! kuna mto ambao scout wamewahi kupotea kiajabu!!! wakiogelea!! pia kuna kamba unavuka mto ila hadi uweke saini kukubali kuvuka hulazimishwi, morning site!! juu kabisa mlimani pia kuzuri sana!!! Re camp 3 AZaboys!!!
jamani mie leo nimekumbuka enzi za skauti na chipukizi (zamani kila mwanafunzi ilibidi apitie chipukizi) nimekumbuka zile nyimbo na mazoezi tuliyokuwa tukifanya nimezikumbuka pia hizi
1. akapusipusi.......malizia
2. skauti wiii.........malizia
3...................................... na wewe eendelea
nimekumbuka pia na wimbo huu "maskauti makomandooo lele lele makomandooo" wewe unakumbuka wapi hiyo?
Mie hao jamaa nilikuwa siwapendi, kwanza walikuwa waonevu, pili waliwah kuninyang'anya mzura wangu enzi hzo na kunipigisha push-up waliponikamata natoroka skuli saa mbili usiku, basi toka hapo mie na hao jamaa ni chui na paka.
kuna kanuni scout husaidia watoto, wanawake na wazee ukimkuta mwanamke kabeba mzigo inabidi umsaidie kubeba umbali wa kutosha!!! hii kanuni ilikuwa noma!!!!