kwa waliopita skauti mko wapi?

kwa waliopita skauti mko wapi?

Heshima ya skauti imepungua sana....

why? kwa maana hii ingesaidia sana vijana wa leo! hivi kuna suppotr yoyote ya serikali katika kuendesha scout? nadhani ilikuwa mbadala mzuri wa jkt
 
scout kiboko!!! unatembea usiku kucha!!! kwa waliobahatika kufika Bahati Camp!!! Moro, panaitsha kiaina kutoka na simulizi za jamaa aliyekuwa analinda sehemu hiyo, anadai ana beji ya Rais!! kuna mto ambao scout wamewahi kupotea kiajabu!!! wakiogelea!! pia kuna kamba unavuka mto ila hadi uweke saini kukubali kuvuka hulazimishwi, morning site!! juu kabisa mlimani pia kuzuri sana!!! Re camp 3 AZaboys!!!
 
kuna kanuni scout husaidia watoto, wanawake na wazee ukimkuta mwanamke kabeba mzigo inabidi umsaidie kubeba umbali wa kutosha!!! hii kanuni ilikuwa noma!!!!
 
scout logo small.gif
 
Iringa wanapenda sana Mizula,

Si unajua mizula inavaliwa zaidi sehemu za baridi hasa kwa wavuta NDUMU Skauti wa ukweli mzula sio labla hao wengine chipkizi mafunzo ya skauti hayaambatani na tabia hizo! lakini si unajua kwenye msafara wa ke,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!
 
scout kiboko!!! unatembea usiku kucha!!! kwa waliobahatika kufika Bahati Camp!!! Moro, panaitsha kiaina kutoka na simulizi za jamaa aliyekuwa analinda sehemu hiyo, anadai ana beji ya Rais!! kuna mto ambao scout wamewahi kupotea kiajabu!!! wakiogelea!! pia kuna kamba unavuka mto ila hadi uweke saini kukubali kuvuka hulazimishwi, morning site!! juu kabisa mlimani pia kuzuri sana!!! Re camp 3 AZaboys!!!
yaelekea wewe ni mtu wa Morogoro ulichobahatika ni kuyajua maeneo vizuri tatizo ni hapo unapotuzidishia stori sijui beji ya raisi sijui kuna maskauti walipotea kiajabu hayo ni yako!!!!!!!!!!!!!! Morning site hakuhusiani na skauti ila bahati camp ni mali ya skauti!
 
jamani mie leo nimekumbuka enzi za skauti na chipukizi (zamani kila mwanafunzi ilibidi apitie chipukizi) nimekumbuka zile nyimbo na mazoezi tuliyokuwa tukifanya nimezikumbuka pia hizi

1. akapusipusi.......malizia
2. skauti wiii.........malizia
3...................................... na wewe eendelea

nimekumbuka pia na wimbo huu "maskauti makomandooo lele lele makomandooo" wewe unakumbuka wapi hiyo?

waaaa........akanyaukanyau..............
safi sana...............................
 
Mie hao jamaa nilikuwa siwapendi, kwanza walikuwa waonevu, pili waliwah kuninyang'anya mzura wangu enzi hzo na kunipigisha push-up waliponikamata natoroka skuli saa mbili usiku, basi toka hapo mie na hao jamaa ni chui na paka.

Na hukutoroka tena! Unaona skauti ilikusaidia kuwa mtoto mzuri?
 
kuna kanuni scout husaidia watoto, wanawake na wazee ukimkuta mwanamke kabeba mzigo inabidi umsaidie kubeba umbali wa kutosha!!! hii kanuni ilikuwa noma!!!!

Hiyo kanuni haipo ila skauti ni mtu wa kuwafaa wengine..........
 
ONCE SCOUT ALWAYS SCOUT

SCOUT ilinifundisha UZALENDO, kupenda nchi yangu kwanza

SCOUT raha sana
 
Back
Top Bottom