Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

PAPAA JIWE

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
863
Reaction score
149
Habari
wakuu,
Udsm kwa nyakati tofauti huwa inakuwa na viongozi DARUSO pamoja na kambi
za wanaharakati. Na wote kwa pamoja wana mchango mzuri sana.

Sasa tukumbushane wanaharakati maarufu na viongozi wa pale UDSM. Kwa upande wangu mwanaharakati RICH
MWITA alikuwa zaidi, hasa alipoamua kufanya matembezi peke yake akidai
ongezeko la boom.

Rais Kipara nae alikuwa zidi, maana alihimili mikiki mikiki mingi sana pale UDSM.
 
Watoto wa juzi wote hao.
 
Revo square na wanaharakati wa kweli naona ilikuwa zamani spidi ya mkandala kufukuza watu mbona uanaharakati wote uliisha pale
 
Mkuu ukisema wanaharakati wa kweli unamaanisha nini? Maana kama mtu ni mwanaharakati wa kweli kwa nini aogope kufukuzwa?

Revo square na
wanaharakati wa kweli naona ilikuwa zamani spidi ya mkandala kufukuza
watu mbona uanaharakati wote uliisha pale
 
Habari
wakuu,
Udsm kwa nyakati tofauti huwa inakuwa na viongozi DARUSO pamoja na kambi
za wanaharakati. Na wote kwa pamoja wana mchango mzuri sana.

Sasa tukumbushane wanaharakati maarufu na viongozi wa pale UDSM. Kwa upande wangu mwanaharakati RICH
MWITA alikuwa zaidi, hasa alipoamua kufanya matembezi peke yake akidai
ongezeko la boom.

Rais Kipara nae alikuwa zidi, maana alihimili mikiki mikiki mingi sana pale UDSM.

Mkuu ungetaja mwaka.Enzi zangu ni Julius Mtatiro na Odong Odwar Alikua Mganda mwisho akafukuzwa.Back up ilikua ikitoka kwa kina Halima Mdee nk
 
Mkuu nadhani baada ya enzi ya Odong na mtatiro ndio kikaja kizazi cha kipara na Rich. hapo katikati enzi za kina mlowe, kiswaga hali haikuwa tete sana.

Mkuu ungetaja mwaka.Enzi
zangu ni Julius Mtatiro na Odong Odwar Alikua Mganda mwisho
akafukuzwa.Back up ilikua ikitoka kwa kina Halima Mdee nk
 
Habari
wakuu,
Udsm kwa nyakati tofauti huwa inakuwa na viongozi DARUSO pamoja na kambi
za wanaharakati. Na wote kwa pamoja wana mchango mzuri sana.

Sasa tukumbushane wanaharakati maarufu na viongozi wa pale UDSM. Kwa upande wangu mwanaharakati RICH
MWITA alikuwa zaidi, hasa alipoamua kufanya matembezi peke yake akidai
ongezeko la boom.

Rais Kipara nae alikuwa zidi, maana alihimili mikiki mikiki mingi sana pale UDSM.

Namkumbuka mchumia tumbo Salum Hapi!!
 
Mwaka gani hiyo?
 
Odooooooong! Halaf tunajibu, Odwaaaaar! Mtatiro na mtoto wa mama Leah (a.k.a. Bush) na Rais wao Deo! Nafkiri Mlowe Pasience hatomsahau Odong Odwar katika maisha yake! So sad that the guy was expelled from the varsity and immediately was taken back to his country - Uganda.
 
Odong sikumkuta, ila huwa nashindwa kuamini kama alikuwa na nguvu kubwa ya ushawishi kuliko ile ya Mabirika Mawazo (Al-shaabab)

Odooooooong! Halaf
tunajibu, Odwaaaaar! Mtatiro na mtoto wa mama Leah (a.k.a. Bush) na Rais
wao Deo! Nafkiri Mlowe Pasience hatomsahau Odong Odwar katika maisha
yake! So sad that the guy was expelled from the varsity and immediately
was taken back to his country - Uganda.
 
FILBERT NICKSON...
huyu dogo ni puto kweli kweli, too weightless.
Hana madhara yoyote, mpk najiuliza alipataje madaraka
 
Mkuu nadhani baada ya enzi ya Odong na mtatiro ndio kikaja kizazi cha kipara na Rich. hapo katikati enzi za kina mlowe, kiswaga hali haikuwa tete sana.

Odong alikuwa anashindana kijana mmoja alikuwa anaitwa Pasiense Mlowe kama sijakosea,wote wakiwa wanafunzi wa kitivo cha sheria.Bwana Pasiense alinivutia sana na kauli yake "Tofautisha kati ya hamu na shauku".Ila Odong alikuwa kiboko,likitajwa jina Odooong,watu wote mnaitikia Odwaaa,hata kama upo chooni.hahahaaaaaa there is nothing like UDSM aisee
 
Back
Top Bottom