PAPAA JIWE
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 863
- 149
Watoto wa juzi wote hao.Habari
wakuu,
Udsm kwa nyakati tofauti huwa inakuwa na viongozi DARUSO pamoja na kambi
za wanaharakati. Na wote kwa pamoja wana mchango mzuri sana.
Sasa tukumbushane wanaharakati maarufu na viongozi wa pale UDSM. Kwa upande wangu mwanaharakati RICH
MWITA alikuwa zaidi, hasa alipoamua kufanya matembezi peke yake akidai
ongezeko la boom.
Rais Kipara nae alikuwa zidi, maana alihimili mikiki mikiki mingi sana pale UDSM.
Watoto wa juzi wote hao.
Watoto wa juzi wote hao.
Revo square na
wanaharakati wa kweli naona ilikuwa zamani spidi ya mkandala kufukuza
watu mbona uanaharakati wote uliisha pale
Habari
wakuu,
Udsm kwa nyakati tofauti huwa inakuwa na viongozi DARUSO pamoja na kambi
za wanaharakati. Na wote kwa pamoja wana mchango mzuri sana.
Sasa tukumbushane wanaharakati maarufu na viongozi wa pale UDSM. Kwa upande wangu mwanaharakati RICH
MWITA alikuwa zaidi, hasa alipoamua kufanya matembezi peke yake akidai
ongezeko la boom.
Rais Kipara nae alikuwa zidi, maana alihimili mikiki mikiki mingi sana pale UDSM.
Mkuu ungetaja mwaka.Enzi
zangu ni Julius Mtatiro na Odong Odwar Alikua Mganda mwisho
akafukuzwa.Back up ilikua ikitoka kwa kina Halima Mdee nk
Woote watoto tupo wa DUSO....weka basi wa kwako we michepuko...
Habari
wakuu,
Udsm kwa nyakati tofauti huwa inakuwa na viongozi DARUSO pamoja na kambi
za wanaharakati. Na wote kwa pamoja wana mchango mzuri sana.
Sasa tukumbushane wanaharakati maarufu na viongozi wa pale UDSM. Kwa upande wangu mwanaharakati RICH
MWITA alikuwa zaidi, hasa alipoamua kufanya matembezi peke yake akidai
ongezeko la boom.
Rais Kipara nae alikuwa zidi, maana alihimili mikiki mikiki mingi sana pale UDSM.
Mwaka gani hiyo?Habari

Namkumbuka mchumia tumbo Salum Hapi!!
Odooooooong! Halaf
tunajibu, Odwaaaaar! Mtatiro na mtoto wa mama Leah (a.k.a. Bush) na Rais
wao Deo! Nafkiri Mlowe Pasience hatomsahau Odong Odwar katika maisha
yake! So sad that the guy was expelled from the varsity and immediately
was taken back to his country - Uganda.
Mkuu nadhani baada ya enzi ya Odong na mtatiro ndio kikaja kizazi cha kipara na Rich. hapo katikati enzi za kina mlowe, kiswaga hali haikuwa tete sana.