Kwa walioshtakiwa kwa uhaini kutokana na matukio wakati wa Uchaguzi mkuu 2025

Kwa walioshtakiwa kwa uhaini kutokana na matukio wakati wa Uchaguzi mkuu 2025

sitagliptin

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2023
Posts
1,501
Reaction score
2,935
Habari,
Leo siku inaenda kuisha kukiwa na habari mpya na mbaya ya watu 98 akiwamo bint jasiri Niffer kufunguliwa kesi ya uhaini.

Uhaini ndio kosa kubwa kwa mujibu wa sheria zetu ambapo adhabu yake ni kifo

Nashauri mawakili wa utetezi wasihangaike
Waache mahakama na serikali ihukumu inavyotaka
Na walioshtakiwa nashauri wakubali lolote

Watuachie wananchi mwisho wa siku ndio itakiwa mahakama ya mwisho, maana kwa sasa washaina mchezo na wanaona tunacheza ngoma wanayopiga wao

Ni wakati tunapaswa kuzinduka
Wao wacheze yao na sisi tutapiga na kucheza ya kwetu

Tukiwakaushia huenda ikawa siraha kubwa sana
Ya Lissu wametuchelewesha sana kwa hoja ambazo hazina mashiko lakini mwisho wa siku wamenufaika wao hii ya kina jawa 98 tusikubali huu ndio ushauri wangu

Acha waendelee kutujaza hasira watz
Asante
 
Back
Top Bottom