NYENJENKURU
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 1,066
- 294
Mkwizu, Lwiza, Minja, Bais....hawa watu wa Finance lazima wakung'ang'anie mwaka huu!
unaangukia wanakoangukia wengi?kama ujuavyo GPA wanazopataga wanafunzi weng wa udsm,na me ndo naangukia hapo.
hizo ndizo GPA wanazoangukia wengi? We iseme tu GPA yako ya m.kwere.mwaka wa kwanza ilisoma 3.4,2nd yr ikasoma 3.9,mwaka huu wa mwisho bado cjajua..then nimespecialize in finance mkuu.
umenitajia hao watu nimejisikia kusisimka.
watamkamata kweli wale sijui wapoje mmh.
lwiza (fn 307) anaweza pitika kwa semester hii inayomalizika...nae minja(ib 301) ths semester nae kuna kautata kidogo...ila mkwizu(fn301) na baisi (fn 310) next semester kuwa mwangalifu...lwiza atakuja na fn302 itakuwa ma notes nyng sana ila itapitika...so kwa finance komaa na hao finance GURU's utamaintain gpa yako!
Pga msuli wa alevel..
Dah! JF ni zaidi ya uijuavyo! Kumbe UD mpo wengi kiasi hiki? Mbona hamkutokea kwenye sherehe za miaka 50 ya chuo chetu?Dr.Daudi Lwiza siku hizi amekuwa hivi jamaani?Enzi za 92/93 mbona alikuwa poa?Nini mamemsibu?Au alivyounguzwa uso na mke wake ndo hasira anamalizia kwa wanafunzi wake nini?mmmm poleni
cwezi kuwa na gpa ka ya ****** mkuu,nadhan kwa miaka hyo miwili ukijumlisha thn ukagawa kwa 2 itasoma 3.7 kama cjakosea.
Dah! JF ni zaidi ya uijuavyo! Kumbe UD mpo wengi kiasi hiki? Mbona hamkutokea kwenye sherehe za miaka 50 ya chuo chetu?
GPA inamata huku kitaa. Uwakika ukiwa 3.8 angalau hautabika saa, labda kama una m2. Ila na bahati inahusika. Mwombe Mungu. Mwambie Dr.chijoliga aache kuban hayo ma Gpa.
hahahah njoo ntakupa internship hapa firm kwetu angalau upate exposure ya mwaka then uingie soko la ajira..mbwembwe nyingi kumbe GPA boxer za karume kila mtu anavaa..
Umechelewa kuuliza hili swali. ulitakiwa kuuliza kabla ya kuanza hiyo degree. Tukikwambia market yake ni mbaya utafanyaje? wewe KAZANA kusoma umalize shule ili upate GPA nzuri ili ikiwezekana ufanye na masters kabisaJaman ndugu zangu,me ndo namalizia kadegree kangu ka biashara hapa mwaka huu.naomben mniambie market ya hii kitu ikoje huko sokoni.over
We unajua maana ya uhasibu? Huwezi kusoma poitical science ukawa Mhasibu. Taabu yenu mtu yeyote anaye-handle pesa mnamuita mhasibu. Huyo ni cashier/mtunza pesa siyo mhasibu. Uhasibu is a spcialised profession. Hata ukipata degree ya Bcom accounting bado wewe siyo mhasibu.Hahahahahahaha wewe ndio ulikua unazalau nyuzi moja ya mleta mada juu ya walimu?? Kumbe hata degree haujamaliza,ok mie nikushauri sasa endelea kujenga mazingira mazuri na watu waliopo makazini hivi hivi inakua ngumu kwani kuna jamaa yangu kamaliza PSPA hapo kwenu lakn sasa anafanya kazi ya uhasibu so usichague kazi ukimaliza chuo mengine baadae
Umechelewa kuuliza hili swali. ulitakiwa kuuliza kabla ya kuanza hiyo degree. Tukikwambia market yake ni mbaya utafanyaje? wewe KAZANA kusoma umalize shule ili upate GPA nzuri ili ikiwezekana ufanye na masters kabisa
. wewe huna cha kukusaidia zaidi ya kazi ya TRA. kama una upper second njoo nikuajiri ktk biashara zangu ili ukae DSM. kumbe ndo maana hata auditing firm kubwa kama KPMG, E&Y, PWC hamuonekani. rafiki umechelewa, GPA inasaidia sana ila GPA sio kuwin maisha. ukija Masaki, majirani zetu wote hamna mwenye GPA ya 3.3.5 inasoma senetor? kama hapana, jipange! Nyinyi mnaonaga UD ndo mko peke yenu duniani. ile last interview ya tra watu wa mlimani walikuwa sita tu! mana requirement ilikuwa ni upper second, watoto wa CBE na IFM na Tumaini walikuwa nyomi! ha ha ha ha poor senetor, utashangaa kukuta mtoto wa CBE anakukimbiza mchaka mchaka na Bcom yako.
ebu weka hyo yako ya tumaini tuione.
ebu weka hyo yako ya tumaini tuione.
we si ndo ulikuwa unasema una module E ya NBAA? ilikuwaje?