Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
isiwe ya inholland lakini,misinzoJaman ndugu zangu,me ndo namalizia kadegree kangu ka biashara hapa mwaka huu.naomben mniambie market ya hii kitu ikoje huko sokoni.over
We unajua maana ya uhasibu? Huwezi kusoma poitical science ukawa Mhasibu. Taabu yenu mtu yeyote anaye-handle pesa mnamuita mhasibu. Huyo ni cashier/mtunza pesa siyo mhasibu. Uhasibu is a spcialised profession. Hata ukipata degree ya Bcom accounting bado wewe siyo mhasibu.
Market ipo mdau ila unatakiwa uwe una cheti cha bodi ya nbaa .......cha cpa ili uweze kutambulika kama huna hii
kitu jiandae kufundisha tution za sekondali
Kiukweli ni kwamba sasa hivi kupata kazi/kuajiriwa ni function ya vitu vingi sana (kujuana ikiwemo). Ukijuana na watu wakati umefanya vizuri shuleni unakuwa na advantage. Kuliko uchemshe shuleni, utaulizwa "tukusaidieje sasa?" Cha msingi wewe ni kupiga kitabu kwa kwenda mbele. ikiwezekana ingia kwenye professionals mbalimbali. ndio maana utaona kuna watu walisoma engineering leo ni ma-procurement experts (wako pale PPRA, World bank etc.), kuna watu walisoma ualimu wa physics and Chemistry leo wana CPA ni wahasibu (wako serikalini na kwenye taasisi mbalimbali). So hakuna fomula siku hizi ndugu yangu. Weka determination yako, kaza mwendo maisha yatasonga mbele, ingawa wakati mwingine huwezi jua utatokea wapimkuu,nadhan unajua hadi kufikia mwaka 2009 bcom ilikua ndio hot course,so vijana wengi 2lokua tunamalza form 6 tukawa tunaikimbilia pasipo kujua demand yake ikoje huko sokon...ila sa hzi nkiangalia graduates wa hii kitu walioko huko mtaani na hawana ajira,napata wasiwasi sana.