Kwa waliosoma bcom tu.

Kwa waliosoma bcom tu.

Wadau wenzangu kumbe 2po wengi hapa.Naona mmepumzika jf japo leo mnachenu cha LWIZA.kila la kheri bana 2takutana kwa sharobaro wetu wa strategic alhamisi. Siye wazee wa marketing 2naua ijumaa PR.
 
We unajua maana ya uhasibu? Huwezi kusoma poitical science ukawa Mhasibu. Taabu yenu mtu yeyote anaye-handle pesa mnamuita mhasibu. Huyo ni cashier/mtunza pesa siyo mhasibu. Uhasibu is a spcialised profession. Hata ukipata degree ya Bcom accounting bado wewe siyo mhasibu.

Hili hawajalielewa bado watu wengi.
 
mkuu,nadhan unajua hadi kufikia mwaka 2009 bcom ilikua ndio hot course,so vijana wengi 2lokua tunamalza form 6 tukawa tunaikimbilia pasipo kujua demand yake ikoje huko sokon...ila sa hzi nkiangalia graduates wa hii kitu walioko huko mtaani na hawana ajira,napata wasiwasi sana.
Kiukweli ni kwamba sasa hivi kupata kazi/kuajiriwa ni function ya vitu vingi sana (kujuana ikiwemo). Ukijuana na watu wakati umefanya vizuri shuleni unakuwa na advantage. Kuliko uchemshe shuleni, utaulizwa "tukusaidieje sasa?" Cha msingi wewe ni kupiga kitabu kwa kwenda mbele. ikiwezekana ingia kwenye professionals mbalimbali. ndio maana utaona kuna watu walisoma engineering leo ni ma-procurement experts (wako pale PPRA, World bank etc.), kuna watu walisoma ualimu wa physics and Chemistry leo wana CPA ni wahasibu (wako serikalini na kwenye taasisi mbalimbali). So hakuna fomula siku hizi ndugu yangu. Weka determination yako, kaza mwendo maisha yatasonga mbele, ingawa wakati mwingine huwezi jua utatokea wapi
 
Back
Top Bottom