Kwa waliosoma buluba sec-shinyanga

Kwa waliosoma buluba sec-shinyanga

hivi hiyo shule si ndo aliyosoma edibily lunyamila miaka ile ya 90?
 
Ngoja na me nitafute alumn wangu wa ilboru humu.
 
Buhangija ipi?hii ya kina kija,sundi,mzee mundu,chunga boy,makene,hosea,shoga,lyion,kidai,masanja,chombo na wengineo!au buha ya juzi juzi tu!

Nimekubali, mwaka gani kaka. Makene mzee wa math, hosea kiswahili dah! kitambo
 
dah aisee; nimejikuta nimeshika tama tu.
Mungu aendelee mpumzisha mahala pema peponi Dada dena amsi.
Aisee.!!kumbe huu uzi ni wa kitambo chaliangu?..Sasa iyo R.I.P waliyomwekea wao walijuaje kama kafariki?
 
Chuga ndo home ila Shytown kwa Bibi angu kule Ndala Msufini,nimepakumbuka kinyama daaah.!sehemu kama Upongoji,Kambarage,Ibanzamata,Ngokolo pale kuna redio na kanisa kubwa la RC..Shytown ntakuja December asee.!!
 
Back
Top Bottom