Machaku nini?Ilikua ukisikia anauaaaa..ni mwendo wa speed mabwenini.nakumbuka mshkaji wangu mmoja alikua nyerere,Balugu akaja dorm,jamaa alikua bwenini akakimbilia chooni.Ticha akamfuata kulekule,wakaenda dorm jamaa akavaa nguo wakaongozana mpaka ofisini,walipofika mlango wa ofisi akamwambia jamaa amsubiri ampe karatasi ya kuandika maelezo,ile kuingia ofisini tu jamaa nduki,alipotoka ofisini ilibidi aanza kucheka tu.ilikua ni burudani sana Camp la Kygo....
Shule za mchangani hizi
Nilisoma pale 1963-1966. Namkumbuka sana Father Gotard, mwalimu Mahai, mwanafunzi mwenzangu kalubandike. Tulikuwa tunaiba sana mihogo ya bruda Lukundus.
We might be classmateile ilikuwa zaidi ya shulee,,nilikuwa pale 2000 mpka 2002,,shelimoooo ni nyokoooooooooooo