anjnr JF-Expert Member Joined Dec 13, 2010 Posts 539 Reaction score 208 Feb 26, 2012 #1 Nimejaribu kumtafuta huyu mtu au hata kupata habari zake bila mafanikio. Kahando Sanyagi aka CODO BALANCE, alikuwa msanii na mchekeshaji wa maigizo pale shuleni miaka ya 90 na 92. Kwa anayejua habari zake jamani, yuko wapi siku hizi?
Nimejaribu kumtafuta huyu mtu au hata kupata habari zake bila mafanikio. Kahando Sanyagi aka CODO BALANCE, alikuwa msanii na mchekeshaji wa maigizo pale shuleni miaka ya 90 na 92. Kwa anayejua habari zake jamani, yuko wapi siku hizi?
E Elai Senior Member Joined May 26, 2011 Posts 156 Reaction score 11 Feb 28, 2012 #2 Mimi ninapita tu. Nillianza 97, na huyo mtu simfahamu.