Kwa waliosoma Lugalo sec Iringa early 90s; wapi Kahando jamani?

Kwa waliosoma Lugalo sec Iringa early 90s; wapi Kahando jamani?

anjnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
539
Reaction score
208
Nimejaribu kumtafuta huyu mtu au hata kupata habari zake bila mafanikio. Kahando Sanyagi aka CODO BALANCE, alikuwa msanii na mchekeshaji wa maigizo pale shuleni miaka ya 90 na 92. Kwa anayejua habari zake jamani, yuko wapi siku hizi?
 
Mimi ninapita tu. Nillianza 97, na huyo mtu simfahamu.
 
Back
Top Bottom