Kwa waliosoma mkwawa high school mwaka 2000-2008march

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Wadau wa Compex habari popote mlipo,Mabibina mabwana ni mda mrefu tangu tumalize pale,Ninaposema Makanyagio unapata picha gani,nisemapo MJANE unakumbuka nini,nitamkapo KUDISOLVE je unanielewa.Mwisho kabisa msalimie Watende na Mbao Popote utakapowaona na watu wa phisics,UP, NA Garigo anawasalimu
 
wEWE SI ULIKUWA MJANE AFU UKAHAMIA MAKANYAGIO, NUSU KITENDE KIKUPITIE NA YULE MTOTO MBONA MNAFANANA SAAAANAAAAA, hHAHAHAHAHA DONT PANIC
 

aa aha aha ahahaha WAPI CHUWA?? AF VIJANA MLIKUWA MNADISOLVE SANA, HA AHAHAH,VERY FUNNY KWA KWELI,THOSE DAYS!!!!
 
jamani mimi pale magembe west namkumbuka Tende alivyokuwa anakuja kufukuza watu watoke asubuh anakuta watu wanaoga arena.
 
Complex the Never to be Forgotten, Mgimwa,Makwaya,Masatu,Rogassian, Tende under the Leadership of the One and Only-Mbao, mi nikipita pale Miaka ya 01-03,Mkwawa Complex kipindi ile complex kweli
 
Hshaaaaa nimefurahi sana...mgimwa ngui mwangoka mgohamwende...mwaipaja...hahaaaa....
 
Dah Garigo mtaalamu wa Graph za physics.Kuna sehemu pale karibu na Agrey tulipaita KANIITIENI.Galary,chuwa,nelkoni,na mama mmoja alikuwa anapika chakula pale karibu na danish.etc.Umenikumbusha mbalisana .Miaka 10 sasa imetimu.Nilisoma PCB tulikuwa tunasomea CLT,PLR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…