Kila mwenye akili timamu anajua kuwa maswali mengi ya Katuga kwa mashahidi, iwe kwa upande wa mashahidi wa Jamhuri au kwa mashahidi wa mshitakiwa, huwa ya kipuuzi, ya kupoteza muda, yasiyohusiana na mashtaka yaliyopo!
Fikiria Katuga anapoteza muda kwa kuuliza maswali ya kijinga juu ya magari anayomiliki Heche! Mara eti kama mahakama ni mali ya mamake Heche! Mara eti Heche ana magari mangapi ya kifahari! Mara kadhaa majaji waliingilia kati na kumwambia Katuga kuwa hayo maswali akaulizane na Heche nje ya mahakama! Mara kadhaa Heche alipohisi anaulizwa maswali ya hovyo na wakili wa hovyo, alimjibu hovyo. Kwa mfano alipoulizwa kama mahakama ni ya mamake, Heche alimjibu kuwa mamake yupo nyumbani, hana habari na mahakama, labda yeye katuga aiambie mahakama kama ni mahakama ni mali mama yake!
Inashangaza kuona mtu mwenye uwezo duni kama katuga, eti ndiyo kiongozi wa timu ya mawakili wa Jamhuri kwenye kesi ya mchongo dhidi ya Lisu!
Kila nikimsikiliza katuga huwa najiuliza kama ni uhalisia kuwa ana akili na uelewa duni, au pengine yawezekana alikuwa na akili timamu lakini kutokana na kila wakati kuwatengenezea watu kesi za uwongo, uovu wake umemwondolea utimamu wa akili?
Mliosoma na huyu shetani, tupeni dondoo zake chache kuhusu uwezo wake kiakili na kimaadili wakati anasoma.