Kwa waliosoma Pugu sekondari

Kwa waliosoma Pugu sekondari

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
Ni vema kutambuana na kukumbushana mambo ya zamani kama kishoka,beto nk. andika mwaka uliomaliza huenda ukapata mliyesoma naye.
angalizo:kama thread hii imerujirudia naomba msamaha kabisa kwani si mwenyeji sana mji huu!!!
 
1973-1976 kidato cha kwanza hadi cha nne sisi ndiyo waanzilishi wa beto baada ya shida ya maji kuwa kubwa sana vyoo vya kuflash vikawa havifai kutumia kwa hiyo shida zote beto
 
ina maana ndni ya jf waliosoma shule hii hawazidi 5?
 
Back
Top Bottom