Thomas Odera
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 673
- 155
wewe ni pacha yangu. Furaha yangu mimi ilikuwa tu niwe top ten nipate trip za waliofaulu.me nilikua mtu wa ajabu sana kwakweli, hivi vitu nilikua navionatu kwa wenzangu sikuwah kua daftari, sio la autography wala nyimbo....!
Mwenzangu,
Je unakumbuka wakati tunamaliza secondary iwe O level au A level tulikwa
na kitu kinaitwa autograph. Unachukua
daftari jipya unabandika picha za magazeti na kuwapa rafiki zako wakupe
data zao kama vile
Full name
Home Addrress
Best food
Best Actor
Best movie
Best football team
Best player
Best song
Best school
etc etc
Unakumbuka enzi hizo????????
Mi ninachokikumbuka ni kuwa enzi hzo hakuna cha Tigo pesa,mpesa na transaction za hvyo. Tulitumia sana TMO,AIRFORM na kufuta stamp kwa mate ili uitumie tena.
Nakumbuka masurufu kama mkate na orange squash wakati wa kwenda likizo pia kufuta tiketi za basi kwa mafuta ya break na sabuni ili kujipatia nauli kuliko ile halali. Mambo ya autograph nilikuwa naangalia kwa wenzangu tu
Mdai, utakuta humo kuna rafiki hujawahi kuwasiliana nae years, ukimtumie barua tu tayari mnaanza mawasiliano upyaYaani kuna mdada aliibaga autograph yangu sijamsamehe hadi leo. She is a lecturer if, hadi leo tukikutana namkumbusha nakudai! Mbaya zaidi hakuitunza. Ningekuwa nayo mwenyewe could have been a good memory!
Mwenzangu,
Je unakumbuka wakati tunamaliza secondary iwe O level au A level tulikwa na kitu kinaitwa autograph. Unachukua daftari jipya unabandika picha za magazeti na kuwapa rafiki zako wakupe data zao kama vile
Full name
Home Addrress
Best food
Best Actor
Best movie
Best football team
Best player
Best song
Best school
etc etc
Unakumbuka enzi hizo????????
Natumia nafasi hii kuwaomba radhi mabinti wote walikuwa wanasoma shule ya sekondari Rubale 1991-94 ambao Autograph zao ziliibiwa. Mwizi wa 'phonebooks' zao nilikuwa mimi pamoja na kijana mwingine.
Wivu tu wa kukosa demu ndio ulionitutuma kufanya hivyo!.
Nashukuru kwa kunisamehe.
Ndebile,
P. O. BOX Private Bag, Mwashilalage- Kwimba,
Mwanza.