Kwa waliosoma Shule za Boys na Girls ......Je ulifanya haya.....................

kitu top layer.... umenikumbusha enzi zangu tosamaganga
 
ni kweli kabisa me nimesoms boyz na najua hali ilivyo boyz wengu ni wachafu c kwasababu hawapendi usafi bali ni mazoea ,hii ni sababu ya kukosekana gilz,siku wakija girlz shuleni utaprove hilo hakuna atakayeonekana mchafu cku hyo by x-boy umbwe2012

Sio wote bwana, wengine mbona tumesoma boys but tulikuwa wasafi mpaka basi,, nenda feza boys anytime uone watu wanavyong'aaa... Usafi mazoea sio kisa boys lazima muwe wachafu
 

aaaah aaaaaah kumbe kuna mambo ya ajabu hivyo
 
Dah....::kwanini boys wanakua wachafu
Siku nilipolipoti form 5 (bwiru boys) bro mmoja aliyekuwa form 6 akanipeleka ziwani kwenda kuoga, ilipofika kesho yake nikamuuliza vp leo hatuendi? bro akacheka sana akaniambia eti mimi napenda mauzo, akasema hapa hakuna kuoga mpaka zipite 4days
 
kaka kumbe na wewe ulikuwamdau wa channel e?? ikifika mida utasikia..."haya nyoya kalaleni"
hehehe
 
Ndanda na Pugu boyz mpoo?

sema umelikumbuka pond au wali kwa mama pendo'? Au kwenda kusikiliza bongolfleva dukani kwa mwombeki? Au mihogo mwisho wa lami na kupandisha kilima cha baghadi? Au kutega mingo kisumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…