Kwa waliosoma Shule za Boys na Girls ......Je ulifanya haya.....................

Kwa waliosoma Shule za Boys na Girls ......Je ulifanya haya.....................

kitu top layer.... umenikumbusha enzi zangu tosamaganga
 
ni kweli kabisa me nimesoms boyz na najua hali ilivyo boyz wengu ni wachafu c kwasababu hawapendi usafi bali ni mazoea ,hii ni sababu ya kukosekana gilz,siku wakija girlz shuleni utaprove hilo hakuna atakayeonekana mchafu cku hyo by x-boy umbwe2012

Sio wote bwana, wengine mbona tumesoma boys but tulikuwa wasafi mpaka basi,, nenda feza boys anytime uone watu wanavyong'aaa... Usafi mazoea sio kisa boys lazima muwe wachafu
 
umenikumbusha mbali. Kwenda bafuni uchi yani nilikua naenda na sabun 2 na kopo ful kujiachia. Kuombana pedi darasani m2 anapta mbele ya darasa kuomba ped bila aibu. Mambo meng ya kitoto yan kusoma gelz ful maraha. Bt ila iliniafect coz nilikua naona aibu kupishana na wavulana had nikawa nataman kuwe na vyuo vya cngle.

aaaah aaaaaah kumbe kuna mambo ya ajabu hivyo
 
Dah....::kwanini boys wanakua wachafu
Siku nilipolipoti form 5 (bwiru boys) bro mmoja aliyekuwa form 6 akanipeleka ziwani kwenda kuoga, ilipofika kesho yake nikamuuliza vp leo hatuendi? bro akacheka sana akaniambia eti mimi napenda mauzo, akasema hapa hakuna kuoga mpaka zipite 4days
 
sio siri kuoga kwangu ilikua mbinde sana mara 2 au 3 kwa mwezi na hapo labda kue na joint mass wadada wanakuja, siku za nyama ama za wari mapemaaa mtu zimejaa DH, kali kuliko zote TV ilikua inatolewa ijumaa saa 11:30AM inarudishwa juma3 saa 12:00AM hapo mtu hazing'oki DH mtu anaingia na kidumu cha maji na bakuli yaani anakula na kusuuza chombo hapohapo milobmi3 yote, mida ya saa6 usiku J.mos na J.Pili utaona DH mtu zinajaa na Blankets mambo yetu yaleeee ya Chanel e yalikua yamepewa code name KP, kaka asigwa unakumbuka hizo??
kweli maisha yalikua poa sana miaka hiyo
Tabora Boyz 2009
kaka kumbe na wewe ulikuwamdau wa channel e?? ikifika mida utasikia..."haya nyoya kalaleni"
hehehe
 
Ndanda na Pugu boyz mpoo?

sema umelikumbuka pond au wali kwa mama pendo'? Au kwenda kusikiliza bongolfleva dukani kwa mwombeki? Au mihogo mwisho wa lami na kupandisha kilima cha baghadi? Au kutega mingo kisumu?
 
Back
Top Bottom