Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hadi mi naona aibu kukomentha ha mkuu umenikumbusha tukio moja nilenda kwa sista likizo moja mkoa nikakuta ana beki taraa wa kisingida mtoto mweupe pee kama kuku, tamaa zikanijaa mtoto wa kiume sista akiwa job huku nacheka na mtoto mzuri nampeti peti nkajua mtoto ashakaa kwenye reli basi bana siku hio mchana nkanunua zangu ndom nkajua usiku naua mtu, basi nkazitanguliza ndom gheto kwake nkaziweka chini ya mto wake.
Usiku watu walivyoingia kulala na mie nkazuga naenda lala then nikamtxt acheki chini ya mto akareply anacheka tu nkajua woyooo mtoto wa watu kajaa, nkatoka gheto huku kakibamia kamefura mithili ya pembe ya faru, nikazama kwake ile namgusa tu ak,anambia weee usithubutu kunigusa la sivyo napiga makelele, daaah nikammbembeleza wee wapi mtoto kagoma niachia papuchi, ile natoka nasikia wee chukua uchafu wako (ndom) !!! daah kesho yake siku ilikua ndefu sana maana uso umenijaa aibu balaa ikabidi fasta nikimbie ile nyumba
Aibu sana looh