yakiti's son
Member
- May 19, 2013
- 12
- 0
Subiri joining instruction form yote utayapata hayo! Shule ni bomba ni kongwe!
sasa hizo joining instruction zinapatikana wapi na muda huo ndo unaenda?
Msosi wa Minaki uko poa maana utakula sembe, wali Mara mbili kwa wiki, pilau Mara moja, chai saa kumi na mbili asubuhi na uji saa tano ila tabu kubwa ni maji na fangasi. Kazi kwakooya vp khs msosi maana mi msosi kwanza then pindi na vp mazingira na majengo kwa ujumla
Msosi wa Minaki uko poa maana utakula sembe, wali Mara mbili kwa wiki, pilau Mara moja, chai saa kumi na mbili asubuhi na uji saa tano ila tabu kubwa ni maji na fangasi. Kazi kwako