yakiti's son
Member
- May 19, 2013
- 12
- 0
Natumain ni wazma wote wana jf na kama wengne ni wagonjwa poleni..sina meng nahtaj kufahamu mambo mbalimbal kuhusu shule hii zkwepo garama zake kwa mwaka na mahtaji yake kama mwanafnz maana nmechaguliwa hapo PCM.