mwali wako
Member
- Oct 22, 2018
- 36
- 29
duh!Nilimuona mtumiaji wa hiyo kitu alikuwa shombe shombe wenyewe mnaita rangi ya mtume..
ahsante,ulipaka yenyewe tu au kuna something ulichanganya?Hiyo lotion ukipaka utang'aa sanaaa tena sanaaa but sio nzuri ni moja ya lotion zenye viambata sumu.nishatumia nilivojua ni miongon mwa vipodoz vinavyopigwa marufuku nikaacha. Ila ukipaka kuacha yahitaj moyo maana unakua too white
Sikuchanganya na kitu ila nlikua natumia na sabun moja inaitwa pyaryahsante,ulipaka yenyewe tu au kuna something ulichanganya?
tatzo langu mm nina uso Wa mafuta na na rangi ninayo sio mweusi, ila kila nikijaribu lotion za kawaida hizi naishia kuwa na chunusi na mafuta yanaongezeka.nimeshatumia zoazoa baada ya kusikia matangazo Yao, rinju na nyingine nyingi na ndipo nikajikuta nimeangukia kwenye hii kitu ila kwakeli sipendi cream kabisaSikuchanganya na kitu ila nlikua natumia na sabun moja inaitwa pyary
Dodo ukiipaka Sana mwisho inakudodoa. dodo, Gg na perfect white hizi watu wengi wamelia nazo!!
Ndio kawaida huwa hazikwepeshiGG na Bio Claire umenikumbusha mbaliii, tuliletewa na sister angu enzi hizooo zilitupendeza balaa baada ya mwezi wee utango tango mwili mzima!!
Nitafute mkuutatzo langu mm nina uso Wa mafuta na na rangi ninayo sio mweusi, ila kila nikijaribu lotion za kawaida hizi naishia kuwa na chunusi na mafuta yanaongezeka.nimeshatumia zoazoa baada ya kusikia matangazo Yao, rinju na nyingine nyingi na ndipo nikajikuta nimeangukia kwenye hii kitu ila kwakeli sipendi cream kabisa
una chochote cha kunisaidia mkuu??Nitafute mkuu
Umesahau jojoba..castor oil..hata neem oiljaribu kutumia mafuta ya asili sidhani kama yana madhara kwa yoyote. kuna nazi, shea butter, mlonge,olive,parachichi, almond na mengineyo.heri kujaribu na cha asili kuliko creams.
Umesahau jojoba..castor oil..hata neem oil